Hebrews 1:10-12

10 aPia asema, “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia,
nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.

11 bHizo zitatoweka, lakini wewe utadumu;
zote zitachakaa kama vazi.

12 cUtazikung’utakung’uta kama joho,
nazo zitachakaa kama vazi.
Lakini wewe hubadiliki,
nayo miaka yako haikomi kamwe.”

Copyright information for SwhKC